Halmashauri Kuu ya CCM iliyoketi leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeadhimia kumfukuza uanachana aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Akiongea leo Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha Roze Migiro amesema ““Kamati Kuu imejadili kuhusu suala la nidhamu na maadili ambalo lilikuwa linamkabili Emmanuel Nchimbi, na baada ya kuzingatia taarifa zote zilizokuwepo ilithibitika kwamba katiba ya CCM na kanuni zake zilikiukwa, na hivyo Nchimbi amefukuzwa uanachama”.

