Mtandao wa YouTube umesitisha rasmi chaneli ya kanisa kuu la mwinjilisti wa televisheni kutoka Nigeria TB Joshua kwa kukiuka sera zake za matamshi ya chuki. Hatua hiyo inajiri wiki kadhaa baada ya kufichuliwa kwa ushahidi wa kuenea kwa unyanyasaji wa kingono na mateso yaliotekelezwa na mhubiri. Emmanuel TV ilichukua jukumu muhimu katika kuimarika kwake kutoka kuwa mchungaji wa ndani hadi…
Muda wa usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kwa Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 umeongezwa kuanzia tarehe 06 Novemba, 2025 hadi tarehe 30 Novemba, 2025. Ada ya usajili kwa kipindi hiki ni Tsh 65,000. Bonyeza Hapo chini kupakua Tangazo.
Mh. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kassim amesema kuwa lengo la Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na za kisasa Ameyasema hayo Leo wakati akizungumza na Wananchi Wilayani Butiama katika ziara yake mkoa wa Mara ambapo sambamba na hayo amesema kuwa vipaumbele vinavyohitaji utelelezaji wa haraka ni ujenzi wa stendi ya Magari na Soko…
Shambulio moja limetokea eneo la Palm Jumeirah nchini Dubai. Kwa mujibu wa ofisi ya habari nchini humo, vikosi vya uokoaji vilitumwa mara moja katika eneo la tukio na moto uliotokana…
Mtandao wa YouTube umesitisha rasmi chaneli ya kanisa kuu la mwinjilisti wa…
Baada ya kuonekana kwenye kambi ya Simba SC nchini misri na kufanyiwa…
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amethibitisha taarifa ya kuandama kwa Mwezi…
Pape Bouna Thiaw, Kocha wa Timu ya Taifa ya SenegalJina Kamili: Pape…
Marwa Menganyi, mkazi wa Kijiji Keroti, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara anadaiwa…
Aliekuwa Dj maarufu kutoka Clouds Fm na Clouds TV, Dj. D Ommy…
Ubalozi wa Norway Nchini, umesema utaendelea kushirikiana na Chuo Kikuu cha Kilimo…
Klabu ya Azam FC imempa ofa ya mshahara wa dola 15,000 (zaidi…
The summer is a fun and energetic time of year, and a favorite time to travel. It’s also the perfect time to wear your boldest and brightest clothes, try new trends, and take risks.
Sign in to your account
