Ad image

BREAKING NEWS: Rais Samia Amemteua Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Daktari Samia Suluhu Hassan leo Novemba 13, 2025 amemteua Dk. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu.

Togoro Media Togoro Media

P Diddy aendelea kusakwa na Polisi hadi Visiwani.

Ndege binafsi ya P Diddy, imefuatiliwa hadi visiwa vya Antigua huku polisi wakivamia makazi yake ya Los Angeles na Miami, na wanawe Justin na King wakikamatwa. Ndege ya Gulfstream 5 ilifanya safari kadhaa ndani ya California kabla ya kuelekea huko Antigua ingawa haijulikani kama P Diddymwenyewe alikuwepo ndani ya ndege hiyo. Taarifa rasmi kutoka kwa wawakilishi wa P Diddy ama

Togoro Media Togoro Media

Watahiniwa Wa Kujitegemea Kidato Cha Sita 2026 Waongezewa Muda Wa Usajili.

Muda wa usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kwa Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 umeongezwa kuanzia tarehe 06 Novemba, 2025 hadi tarehe 30 Novemba, 2025.  Ada ya usajili kwa kipindi hiki ni Tsh 65,000. Bonyeza Hapo chini kupakua Tangazo.

Togoro Media Togoro Media

Rais Ruto Kulihutubia Bunge La Tanzania

Rais wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kuhutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, ujio wa Rais Ruto una lengo la kuimarisha ushirikiano wa kikanda, hususani katika nyanja za biashara, uwekezaji

Togoro Media Togoro Media

Miss Japan 2024 ajivua taji kisa Mme wa mtu.

Mshindi wa shindano la urembo la Miss Japan mzaliwa wa Ukraine amejivua

Togoro Media Togoro Media

Makonda awaombea Barabara watu wa Arusha kwa Mama Samia kwa mbwembwe.

Leo April 12 ni siku ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo

Togoro Media Togoro Media

Uvamizi wa Magari ya kusafirisha Fedha wakithiri Afrika Kusini

Uhalifu wa kimabavu unazidi kuongezeka nchini Afrika Kusini, huku wizi wa pesa

Togoro Media Togoro Media

TFF yamfuta kazi Kocha mkuu timu ya Taifa.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limemfuta kazi Kocha Mkuu Abdel Amruche

Togoro Media Togoro Media

Saturday Brainstorming on Togoro Media.

Hii ni picha ya baadhi ya wanafamilia wa aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa

Togoro Media Togoro Media

MC Pilipili Afariki Dunia.

Taarifa zilizotufikia jioni ya leo ni kwamba Mchekeshaji na Mshereheshaji maarufu nchini,

Togoro Media Togoro Media

Mjue Hayati Edward Ngoyai Lowassa.

Hayati Edward Ngoyai Lowassa alizaliwa mkoani Arusha tarehe 26/08/1953. Alikuwa waziri mkuu

Togoro Media Togoro Media

Fashionable Summer Accessories to Dress Up Your Travel Look

The summer is a fun and energetic time of year, and a favorite time to travel. It’s also the perfect time to wear your boldest and brightest clothes, try new trends, and take risks.

Togoro Media Togoro Media