Ad imageAd image

Rais Ruto Kulihutubia Bunge La Tanzania

Togoro Media
1 Min Read

Rais wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kuhutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, ujio wa Rais Ruto una lengo la kuimarisha ushirikiano wa kikanda, hususani katika nyanja za biashara, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya.

Naibu Spika wa Bunge, Daniel Sillo, ameeleza haya wakati akisoma tangazo la Katibu wa Bunge na kwamba siku hiyo viongozi mbalimbali wa kitaifa watakuwepo, huku hotuba ya Rais Ruto ikitarajiwa kuwa sehemu muhimu ya kikao hicho.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *