Chivayo Na Mkewe Lucy Kuzikwa Kesho
Majeneza yenye miili ya Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo na mkewe Lucy Muteke ‘Lulu’, yamefikishwa nyumbani kwao Jijini Harare kwa ajili ya ibada za mwisho kabla ya kuzikwa Oktoba…
Mwanasheria Amuua Mpenzi Wake Kisa Wivu Wa Mapenzi
Polisi Mkoa wa Mara inamshikilia Mwanasheria Keneth Nkiko (28) ambaye jukumu lake lilikuwa kutoa msaada wa kisheria kwa waathirika wa vitendo vya ukatili wa kijinsia ambaye anatuhumiwa kumuua Magreth Richard…
Bilionea Wicknell Chivayo Wa Zimbabwe Afariki Dunia
Mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, pamoja na mke wake Lucy “Lulu” Muteke, na wengine wanne wamefariki dunia Septemba 30, 2026 baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Marondera…
Deogratius Ndejembi Apendekezwa Kuwa Makamu Wa Rais
Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan imempendekeza Deogratius Ndejembi (43) kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katibu Mkuu wa CCM,…
Dkt. Emmanuel Nchimbi Afukuzwa Uanachama CCM
Halmashauri Kuu ya CCM iliyoketi leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeadhimia kumfukuza uanachana aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Akiongea leo Katibu Mkuu…
Ajali Ya Gari Yaua Wanne Ngukumo Nzega
Abiria wanne, wakiwemo watoto wawili, wamepoteza maisha baada ya basi la kampuni ya Miza Express kupata ajali katika eneo la Kijiji cha Ngukumo, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora. Basi hilo…
Walimu Sita Mbaroni Kifo Cha Mwanafunzi Bunda
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo, amethibitisha kifo cha mwanafunzi Peter Maira, aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari Makongoro, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya…
South Africa Safari Imeishia Hapa
South Africa imeaga rasmi Kombe la Dunia 2026 baada ya kupoteza 1-0 dhidi ya Canada kwenye hatua ya mtoano (Round of 32). Licha ya kupambana kwa nguvu hadi dakika za…

