Mamelodi Sundowns 1–1 AS FAR — dakika 90 zimekamilika, sasa tunaingia dakika 8 za nyongeza!
Kila mpira sasa ni vita, kila nafasi ni historia! Mashabiki mioyo juu, hii ndiyo ile dakika ya mabingwa kuonekana!
Je, Sundowns watamaliza kazi au drama bado inaendelea…?

