Ad imageAd image

Ally Hapi achaguliwa kuwa Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania.

Togoro Media
0 Min Read

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua Ndugu Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, akichukua nafasi ya Ndugu Gilbert Kalima ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga jijini Tanga.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *