Ad image

South Africa Safari Imeishia Hapa

Togoro Media
1 Min Read

South Africa imeaga rasmi Kombe la Dunia 2026 baada ya kupoteza 1-0 dhidi ya Canada kwenye hatua ya mtoano (Round of 32).

Licha ya kupambana kwa nguvu hadi dakika za mwisho, bao la kuchelewa la Canada limehitimisha ndoto za Bafana Bafana za kuendelea kwenye michuano hiyo.

Hongera kwa South Africa kwa kupambana na kuandika historia ya kufika hatua ya mtoano, na kila la heri Canada katika hatua inayofuata.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *