Ad imageAd image

Jokate Mwegelo achaguliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM Taifa.

Togoro Media
0 Min Read

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, akichukua nafasi ya Ndugu Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *