Ad image

Mlipuko wa Gesi Nairobi watu watatu wafariki.

Mlipuko mkubwa wa gesi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, umesababisha vifo vya watu watatu na kuwajeruhi wengine 300. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lililipuka katika wilaya ya Embakasi

Togoro Media Togoro Media

Mtandao wa Tigo kudhibiti ubadhilifu fedha za Wakulima Nchini.

Tume ya Maendeleo ya ushirika Tanzania imeingia makubaliano na mtandao wa simu wa Tigo kwa lengo la kuongeza ufanisi kwenye vyama vya ushirika Nchini kwa kuboresha mifumo ya mauzo ya

Togoro Media Togoro Media

Mtandao wa YouTube waifungia Emmanuel TV.

Mtandao wa YouTube umesitisha rasmi chaneli ya kanisa kuu la mwinjilisti wa televisheni kutoka Nigeria TB Joshua kwa kukiuka sera zake za matamshi ya chuki. Hatua hiyo inajiri wiki kadhaa

Togoro Media Togoro Media

Waziri Mkuu Majaliwa amjulia hali Mama Halima Mdee.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Jana, Januari

Togoro Media Togoro Media

Mtandao wa Facebook watimiza miaka 20.

Mwaka 2004 mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook ulizinduliwa. Tangu wakati huo, mtandao maarufu zaidi wa kijamii ulimwenguni umekarabatiwa mara kadhaa. Lakini lengo lake limebaki sawa: kuunganisha watu mtandaoni na

Togoro Media Togoro Media

Profesa aamua kujishughulisha na uchomeleaji vyuma.

Kabir Abu Bilal sio profesa wa kawaida wa chuo kikuu cha Nigeria anayo kazi nyingine ya kuchomelea vyuma kaskazini mwa jiji la Zaria. Uchomeleaji unaonekana sana kama kazi duni kote

Togoro Media Togoro Media

Saturday Brainstorming on Togoro Media.

Hii ni picha ya baadhi ya wanafamilia wa aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa Tanzania,Afrika na hata Dunia Kwa ujumla. Je? Umemtambua nani kwenye hii picha?? Toa majibu yako kwenye comments.

Togoro Media Togoro Media

Walimu mkoani Geita wanyang’anywa viti vya kukalia.

Walimu wa shule ya msingi Nyansalala iliyopo kata ya Bukondo Halmashauri ya wilaya ya Geita, wamelazimika kufanya kazi wakiwa wamekaa chini baada ya kamati ya shule na uongozi wa kijiji

Togoro Media Togoro Media

Bashungwa ataka Miundombinu ya Barabara kurekebishwa haraka.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Eng. Godfrey Kasekenya kufika katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua mkoani Dar es Salaam na kuungana na Mtendaji Mkuu wa

Togoro Media Togoro Media

Dula Makabila arusha kijembe kwa Haji Manara.

Ikiwa ni masaa machache baada ya Haji Manara kumfanyia engagement mpenzi wake mpya Zaylissa, leo msanii Dula Makabila kwenye ukurasa wake wa Instagram ameandika kijembe ambacho wazi wazi kinaonekana kumhusu

Togoro Media Togoro Media