MABEYO: Hayati Joseph Magufuli alijua hatapona.
Ikiwa jana imetimia miaka 3 tangu Rais wa awamu ya Tano, Mh. John Pombe Magufuli kufariki, Mkuu wa majeshi mstaafu Venance Mabeyo ametoa siri aliyoificha kwa muda mrefu. Mabeyo anasema…
Mtoto ajinyonga kisa ugomvi wa wazazi.
Mtoto Rafia Adamu mwenye umri wa miaka 8 anayesoma darasa la pili mkazi wa Kata ya Maisaka, wilayani Babati mkoani Manyara, amejinyonga majira ya saa Saba mchana baada ya kuona…
Minada ya Kisasa 51 yajengwa ndani ya miaka 3 ya Rais Samia.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, jumla ya…
Ally Gugu ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani.
Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ally Senga Gugu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kabla ya uteuzi huu Bw. Ally Gugu alikuwa…
Harmonize atimiza umri wa miaka 30, aahidi kubadilika.
Leo Machi 15, 2024 msanii wa Bongo flava nchini, Harmonize ametimiza umri wa miaka 30. Katika ukurasa wake wa Instagram Harmonize ameandika... "Turn to 30 years of my life!! I…
TETESI: Fiston Mayele kutua Azam FC kuziba nafasi ya Dube.
Klabu ya Azam FC imempa ofa ya mshahara wa dola 15,000 (zaidi ya milioni 38 za Kitanzania) kwa mwezi na ada ya usajili ya ya milioni 300 mshambuliaji wa kimataifa…
Yanga SC na Kaizer Chiefs wabisha hodi Cape Town City.
Vilabu vya Yanga SC na Kaizer Chiefs Vimebisha hodi kwenye klabu ya Cape Town City ili Kuipata huduma ya mshambuliaji wao Khanyisha Mayo.nakupenda Mayo kwa sasa ndiye mfungaji kinara wa…
Yanga Vs Mamelodi, Simba Vs Al Ahly ya Misri.
Michezo ya hatua ya robo fainali ya kombe la Klabu Bingwa barani Afrika inatarajiwa kuchezwa kati ya tarehe 30 na 31 Mwezi huu huku wawakilishi watatu wa Ukanda wa Afrika…
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi afariki Dunia.
Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amefariki Dunia leo jioni. ‘’Hayati mzee Ali Hassan Mwinyi, amekua akipatiwa matibabu tangu Novemba mwaka jana…
Stendi ya Magari na Soko la kisasa kujengwa Wilayani Butiama.
Mh. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kassim amesema kuwa lengo la Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na za kisasa Ameyasema hayo Leo wakati…

