BUNDA: Mke amuua mme wake kwa kumng’ata ulimi.
Afisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoa wa Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi (38) ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na…
Mwalimu Herieth Lupembe auawa kikatili Mbeya.
Herieth Lupembe ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Mbugani na Mkazi wa Kiwanja kata ya Kiwanja Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya pamoja na mwanafunzi wa kidato cha kwanza sekondari…
TANESCO: Umeme unarudi sasa, Mikoa ya Singida, Dodoma na Tanga kuanza.
Msemaji wa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO), Eng. Kenneth Boymanda amesema umeme utaanza kurejeshwa kwa awamu katika maeneo uliyokatika kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye gridi ya Taifa. Amesema baadhi ya…
Amuua mwanae ili achangiwe fedha na Vikundi.
Marwa Menganyi, mkazi wa Kijiji Keroti, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake Celina Marwa mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi mdomoni na puani hadi kufa,…
Paul Christian Makonda ateuliwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Kabla ya uteuzi huo, Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi…
Mwenyekiti wa CCM Taifa agawa Pikipiki kwa Viongozi wa Chama Wilaya ya Butiama.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Mhe, Samia Suluhu Hassan leo Machi 31, amegawa pikipiki kwa Viongozi wa Chama ngazi ya Kata na jumuiya zote Wilayani Butiama. Akiongoza zoezi hilo,…
Fahamu kuhusu mashine ya kifo cha starehe, Unalipia kabla ya kujiua.
Inaitwa "Sarco", kifupi cha sarcophagus, ni mashine iliyochapishwa kwa 3D iliyovumbuliwa na Mwanaharakati wa Euthanasia wa Australia, Philip Nitschke na mbunifu wa Uholanzi, Alexander Bannink ikiundwa katika mfumo wa jeneza…
Daraja lakatika, Watu zaidi ya 20 wahofiwa kuzama mtoni.
Watu wapatao 20 wanahofiwa kuwa ndani ya maji baada ya daraja la Francis Scott lililopo Baltimore Nchini Marekani kukatika vipandevipande mapema leo baada ya meli iliyobeba kontena kuligonga. Boti kadhaa…
P Diddy aendelea kusakwa na Polisi hadi Visiwani.
Ndege binafsi ya P Diddy, imefuatiliwa hadi visiwa vya Antigua huku polisi wakivamia makazi yake ya Los Angeles na Miami, na wanawe Justin na King wakikamatwa. Ndege ya Gulfstream 5…
Lulu Diva atimiza umri wa miaka 29.
Msanii wa Bongo Fleva Luludiva leo Machi 23 anatimiza miaka 29 tangu azaliwe mwaka 1995., LuluDiva alianza kujizolea umaarufu miaka 7 iliyopita kwa ngoma yake ya Milele aliyofanya na Barnaba…

