LIVE: Waziri Mkuu anahutubia wananchi wa Butiama.
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa anahutubia wananchi wa Wilaya ya Butiama. Katika ziara yake Wilayani Butiama Mh. Waziri Mkuu ameongozana na Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini, Mkuu wa mkoa…
Ziara ya Waziri Mkuu wilaya ya Butiama mamia wajitokeza.
Leo ni ziara ya Mh. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wilaya ya Butiama ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoa wa Mara ambapo anatarajiwa kusalimiana na wananchi wa Butiama katika viunga…
Askari Mgambo auawa Kilimanjaro, Watu wanane wanashikiliwa na Polisi.
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu wanane kwa mahojiano kuhusiana na tukio la mauaji ya Farijara Hamis Mboya, maarufu kwa jina la Kotex (40), Askari Mgambo aliyekuwa akisimamia…
Dokta Mahera atilia mkazo mafunzo kwa Waganga Wafawidhi.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Dkt. Wilson Mahera amewataka waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi kuhakikisha wanawekeza katika mafunzo ili…
Fahamu Jumba la Makumbusho ya Hayati Nelson Mandela.
Tarehe 11/02/2000 ndipo lilipofunguliwa Jumba la Makumbusho ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Afrika ya kusini, Nelson Mandela. Jumba hilo lilijengwa kijijini kwake Mthatha alipozaliwa na kusoma shule ya msingi.
Hali si shwari Congo DR. Mji wa Goma hofu yaongezeka.
Hali halisi ilivyo katika mji wa Goma baada ya kuzuka kwa ghasia na mapigano ambayo yamewasababisha watu zaidi ya milioni saba kuwa wakimbizi wa ndani na kuhama makazi yao kwa…
Mjue Hayati Edward Ngoyai Lowassa.
Hayati Edward Ngoyai Lowassa alizaliwa mkoani Arusha tarehe 26/08/1953. Alikuwa waziri mkuu tangu mwaka 2005 - 2008 chini ya uongozi wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Mwaka 2008 alitangaza kujiuzulu baada…
Taasisi zote za Umma kuingia kwenye mfumo wa Serikali Mtandao (e-GA).
Waziri wa nchi ofisi ya Rais menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora ,George Simbachawene amezitaka taasisi zote za umma nchini kuhakikisha zinaingia kwenye mfumo wa serikali mtandao( e-GA)…
Miss Japan 2024 ajivua taji kisa Mme wa mtu.
Mshindi wa shindano la urembo la Miss Japan mzaliwa wa Ukraine amejivua taji lake baada ya ripoti ya gazeti la udaku kufichua uhusiano wake na mwanamume aliye katika ndoa. Karolina…
Paul MacKenzie ashtakiwa kwa makosa 191.
Paul MacKenzie mwenye kanisa maarufu nchini Kenya ambapo mamia ya watu wanaodaiwa kufariki kutokana na njaa ameshtakiwa kwa makosa 191 ya mauaji. Paul Mackenzie na wenzake 29 walikana mashtaka mbele…

