Kambarage Wasira Aupata Ubunge, Amshukuru Rais Samia
Mhandisi Kambarage Masato Wasira amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki. Amesema anamshukuru kwa Imani kubwa aliyoionesha kwake kupitia…
Watuhumiwa Mauaji Ya James Rogers Temba Wakamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na mauaji ya James Rogers Temba, mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Chuo cha IFM. Mwili wa marehemu…
Bei Ya Petroli Yazidi Kupanda Dar Es Salaam
Bei ya mafuta ya petroli imepanda kwa Jiji la Dar es Salaam toka shilingi 3,820 kwa lita mwezi Aprili hadi kufikia shilingi 4115 kwa lita mwezi Mei 2026, kulingana na…
Baharia Mtanzania Auawa Kwa Shambulio La Bomu Hormuz
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesikitika kutangaza kifo cha baharia raia wa Tanzania, ndugu Mchama Maregesi Mongu kilichotokea Mei 03, 2026 wakati akihudumu katika meli ya kuvuta (tug…
Rais Ruto Kulihutubia Bunge La Tanzania
Rais wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kuhutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, ujio wa Rais Ruto una lengo la kuimarisha ushirikiano wa kikanda, hususani katika nyanja za biashara, uwekezaji…
Wanaanga Wa Artemis II Warejea Duniani Salama
Wanaanga wa Artemis II wamerejea salama Duniani baada ya kutua kwa ustadi mkubwa wakihitimisha safari yao ya kihistoria ya siku tisa Kikosi kilitua katika Bahari ya Pasifiki saa 01:07 BST…
Bei Ya Mafuta Duniani Yazidi Kupanda
Bei ya mafuta duniani imepanda huku wasiwasi ukiongezeka kuhusu iwapo makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yatadumu baada ya Israel kuanzisha wimbi la mashambulizi dhidi ya Lebanon.…
Angela Kizigha Na Eveline Waapishwa Bungeni
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu, leo Aprili 9, 2026 amewaapisha Wabunge wateule Mhe. Angela Kizigha pamoja na Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi Bungeni jijini Dodoma. Hapo…
Zijue Injini Za 1G Beams 2000
Injini ya Toyota 1G‑BEAMS ni mojawapo ya injini maarufu za familia ya 1G kutoka Toyota, hasa kwenye magari ya miaka ya 1990–2000. Hapa kuna maelezo muhimu kuhusu hiyo injini 👇…

