Haji Manara Aikataa Simba Hadharani.
Msemaji wa zamani wa klabu za Simba SC na Young Africans SC ambaye kwa sasa ni Diwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu @hajismanara__ amesema kwa kipindi alichoitumikia klabu ya Simba kama Msemaji…
Waislamu Waanza Mfungo Wa Ramadhan Leo
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amethibitisha taarifa ya kuandama kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Amewaambia waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam kuwa, kufuatia kuandama kwa Mwezi Mtukufu, Waumini…
Baba Amuua Mwanae Kisa Pombe ya Posa.
Moshi, Kilimanjaro Tukio la kusikitisha limetokea mkoani Kilimanjaro ambapo kijana mmoja amefariki dunia baada ya kushambuliwa na baba yake mzazi, kufuatia ugomvi uliotokana na pombe iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya…
Hatimaye Mke Wa Mwijaku Arudi Nyumbani.
Baada ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya kuvunjika kwa ndoa ya Mwijaku na mkewe, leo Mwijaku amempost mke wake akiwa nyumbani kwake huku akiambatanisha na maneno yanayoashiria kuwacheka waliofurahia…
Picha: Kikosi Cha Yanga SC Kimewasili Salama Cairo.
Kikosi cha Dar Es Salaam Young African Sports Club kimewasili mchana huu Jijini Cairo kikiwafuqta Al Ahly katika mchezo utakaopigwa Ijumaa hii.
Mzee Mtei Afariki Dunia.
Kwa masikitiko makubwa tumepokea taarifa za kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbilinyi Mtei, mmoja wa waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kiongozi wa taifa aliyeacha historia kubwa.…
Mjue Pape Bouna Thiaw, Kocha Wa Timu Ya Taifa Ya Senegal.
Pape Bouna Thiaw, Kocha wa Timu ya Taifa ya SenegalJina Kamili: Pape Bouna ThiawTarehe ya Kuzaliwa: 5 Februari 1981Kazi: Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Senegal (Teranga Lions) tangu…
Senegal Bingwa Afcon 2025.
Ushindi wa ubingwa wa AFCON 2025 umeandika historia mpya baada ya Senegal kuibuka mabingwa dhidi ya Morocco katika fainali iliyovutia mamilioni ya mashabiki barani Afrika na duniani kote. Mchezo huo…

