Picha: Kikosi Cha Yanga SC Kimewasili Salama Cairo.
Kikosi cha Dar Es Salaam Young African Sports Club kimewasili mchana huu Jijini Cairo kikiwafuqta Al Ahly katika mchezo utakaopigwa Ijumaa hii.
Mzee Mtei Afariki Dunia.
Kwa masikitiko makubwa tumepokea taarifa za kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbilinyi Mtei, mmoja wa waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kiongozi wa taifa aliyeacha historia kubwa.…
Mjue Pape Bouna Thiaw, Kocha Wa Timu Ya Taifa Ya Senegal.
Pape Bouna Thiaw, Kocha wa Timu ya Taifa ya SenegalJina Kamili: Pape Bouna ThiawTarehe ya Kuzaliwa: 5 Februari 1981Kazi: Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Senegal (Teranga Lions) tangu…
Senegal Bingwa Afcon 2025.
Ushindi wa ubingwa wa AFCON 2025 umeandika historia mpya baada ya Senegal kuibuka mabingwa dhidi ya Morocco katika fainali iliyovutia mamilioni ya mashabiki barani Afrika na duniani kote. Mchezo huo…
Niffer Na Chavala Waachiwa Huru.
Vijana Jennifer Jovin (26) maarufu ‘Niffer’ na Mika Chavala waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhaini wameachiliwa huru mchana huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam. Hatua…
Chuo Kikuu Cha Mwanza Chazuiliwa Kudahili 2025/2026.
Taarifa kutoka Jijini Mwanza zinasema kuwa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesitisha udahili na usajili wa wanafunzi wa shahada ya udaktari wa binadamu kwa mwaka wa masomo 2025/26 katika…
Walioitwa Kwenye Mafunzo Ya Awali Jeshi La Magereza 2025 Hawa Hapa.
Haya hapa majina ya vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2025 Kiwira - Mbeya KUTAZAMA MAJINA YOTE BOFYA HAPA CHINI
Papa Leo Avua Viatu Na Kuingia Msikitini Istanbul.
Papa Leo alitembelea msikiti wa The Blue Mosque huko Istanbul siku ya Jumamosi, na kuvua viatu vyake kama ishara ya heshima lakini hakushiriki sala wakati wa ziara hiyo. Hii ni…

