TANZIA: Mchekeshaji Pembe Afariki Dunia.
Mchekeshaji maarufu nchini, Pembe amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Akithibitisha taarifa hizo, rafiki wa karibu na Pembe, Senga ambaye wamefanya kazi pamoja kwa muda mrefu…
Mwanamuziki Liam Payne afariki Hotelini.
Mwimbaji maarufu kutoka Uingereza Liam Payne amefariki dunia siku ya Jumatano Oktoba 16,2024 akiwa na umri wa miaka 31. Taarifa za awali zinaeleza kuwa mwili wake ulikutwa umedhoofu sana akihofiwa…
Vodacom Twende Butiama 2024 na mafanikio yake.
Msafara wa Vodacom Twende Butiama 2024 uliokamilika rasmi mnamo tarehe 13 Oktoba kwa mafanikio makubwa, ulihitimishwa wilayani Butiama, kijijini kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Julius K. Nyerere katika mkoa…
Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa anaongea na waandishi wa Habari mapema leo maeneo ya Magomeni Mapipa. Kwa taarifa…
Simba SC yapata Sare ugenini.
Mchezo wa mzunguko wa kwanza wa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika uliozikutanisha Simba ya Tanzania na Al Ahly Tripoli ya Libya umetamatika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo…
Christiano Ronaldo hits 1 Billion followers on his social media.
A big history made by a Portuguese player, Christiano Ronaldo today and he wrote "We’ve made history — 1 BILLION followers! This is more than just a number - it’s…
Darasa la Saba wafanya mtihani wa kuhitimu.
Wanafunzi wa Darasa la Saba leo wameanza mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi kwa mwaka huu 2024. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Karukekere B, iliyoko wilayani Bunda, mkoa…
Mistari: Sitorudi – Q Jay ft Joh Makini
Mi sina makosa ila ni weweKwani ulivyofanya wewe wajuaUlinifanya mi nikonde niumie hii yote kwa sababu yako weeNa tena ukanikana bila huruma mbele ya mama yangu nay Sio pooa ×2…
Wachimbaji wadogo Kinyambwiga wailalamikia Serikali ya Kijiji.
Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wapatao 3,000 katika Mgodi wa Kinyambwiga uliopo Wilayani Bunda mkoani Mara, wameandamana na kuzingira Ofisi ya serikali ya Kijiji cha Kinyambwiga wakiwa na mabango…

