Ad image

MISTARI: Sifai – Q Jay ft Joslin

Hello hello kizazi cha Bongo Fleva. Leo tumekuwekea mistari, pita nayo kisha uweke comment yako utuambie wakati huo ulikuwa wapi?? SIFAI - Q JAY FT JOSLIN (MJ RECORDS) Mwanzo mi

Togoro Media Togoro Media

FBI yamtaja aliyempiga risasi Donald Trump.

Shirika la Upelelezi (FBI) limemtaja Thomas Matthew Crooks (20), kama Mshambuliaji katika jaribio la Mauaji ya Rais wa zamani na Mgombea wa Urais Donald Trump Taarifa ya Shirika hilo inasema

Togoro Media Togoro Media

Waziri Mkuu azindua kamati ya AFCON 2027.

Leo Julai 5, 2024 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo

Togoro Media Togoro Media

Yanga SC yaachana rasmi na Okrah Magic.

Yanga SC imetangaza rasmi kuachana na Kiungo Mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah (30) baada ya kudumu na Yanga kwa miezi sita tu. Augustine Okrah alijiunga na wana Jangwani hao

Togoro Media Togoro Media

Waitara akataliwa na wananchi wa Sirari kwa Mabango.

Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara jana alikumbwa na wakati mgumu baada ya wananchi kumpokea kwa yowe, matusi na mabango ya kumkataa alipokwenda kushiriki mapokezi ya mwili wa

Togoro Media Togoro Media

Jengo refu zaidi Duniani kujengwa Saudi Arabia.

Ujenzi wa jengo refu zaidi duniani huko nchini Saudi Arabia utakamilika hivi karibuni. Baada ya kukamilika, jengo hili litavunja rekodi ya majengo mengine marefu zaidi duniani kwa tofauti kubwa. "Jeddah

Togoro Media Togoro Media

Takribani CCTV Camera 6,500 kufungwa kwenye majiji makubwa nchini.

Inakadiriwa kuwa idadi ya Camera za ulinzi (CCTV) 6,500 zenye mifumo ya Artificial Intelligence ( AI ) Technology zinatarajiwa kufungwa katika majiji makubwa manne hapa nchini. Mikoa ya Arusha, Dar

Togoro Media Togoro Media

Waziri Mkuu wa Slovakia apigwa risasi.

Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico, ameshambuliwa kwa risasi, akiwa mbele ya jengo la kituo cha kitamaduni ambalo lipo katikati mwa mji wa Handlova nchini humo, ambako alikuwa akishiriki katika

Togoro Media Togoro Media

Gift Moureen ashinda Miss Kinondoni 2024.

Gift Moureen ameshinda taji la Miss Kinondoni 2024. Gift ameibuka mshindi kati ya warembo 13 walioingia Fainali zilizofanyika jana usiku Masaki jijini Dar Es Salaam.

Togoro Media Togoro Media