Waitara akataliwa na wananchi wa Sirari kwa Mabango.
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara jana alikumbwa na wakati mgumu baada ya wananchi kumpokea kwa yowe, matusi na mabango ya kumkataa alipokwenda kushiriki mapokezi ya mwili wa…
Jengo refu zaidi Duniani kujengwa Saudi Arabia.
Ujenzi wa jengo refu zaidi duniani huko nchini Saudi Arabia utakamilika hivi karibuni. Baada ya kukamilika, jengo hili litavunja rekodi ya majengo mengine marefu zaidi duniani kwa tofauti kubwa. "Jeddah…
Takribani CCTV Camera 6,500 kufungwa kwenye majiji makubwa nchini.
Inakadiriwa kuwa idadi ya Camera za ulinzi (CCTV) 6,500 zenye mifumo ya Artificial Intelligence ( AI ) Technology zinatarajiwa kufungwa katika majiji makubwa manne hapa nchini. Mikoa ya Arusha, Dar…
Waziri Mkuu wa Slovakia apigwa risasi.
Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico, ameshambuliwa kwa risasi, akiwa mbele ya jengo la kituo cha kitamaduni ambalo lipo katikati mwa mji wa Handlova nchini humo, ambako alikuwa akishiriki katika…
Gift Moureen ashinda Miss Kinondoni 2024.
Gift Moureen ameshinda taji la Miss Kinondoni 2024. Gift ameibuka mshindi kati ya warembo 13 walioingia Fainali zilizofanyika jana usiku Masaki jijini Dar Es Salaam.
Dj. D Ommy aondoka Clouds Media Group.
Aliekuwa Dj maarufu kutoka Clouds Fm na Clouds TV, Dj. D Ommy ameondoka Clouds Media Group rasmi leo. D Ommy ameondoka muda mfupi baada ya kutangazwa kujiunga na team mpya…
TAWA yatoa somo kwa wanaoishi maeneo yenye mamba.
Katika kukabiliana na Wanyamapori hususani Mamba na Kiboko, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA, Kanda Maalum ya Dar es Salaam imewapa mafunzo maalum Wanafunzi wa Shule ya Sekondari…
Yanga SC yazidi kupaa kileleni NBC Premier League.
Klabu ya soka ya Yanga leo imecheza mchezo wake wa 26 dhidi ya Kagera Sugar ambapo katika mchezo huo Yanga imepata pointi tatu kwa kufunga goli moja kupitia kwa mchezaji…

