Ad image

Gari la shule ya Msingi Ghati Memorial lapata ajali, mmoja afariki.

Togoro Media
0 Min Read

Mwanafunzi mmoja amepoteza maisha na saba hawajulikani walipo baada ya gari la shule ya Msingi Ghati Memorial, iliyopo Mkoani Arusha, kuanguka kwenye korongo linalopitisha maji.

Ajali hiyo imetokea katika mitaa ya dampo Sinoni, Kata ya Muriet huku chanzo kikidaiwa kuwa ni dereva wa gari hilo kushindwa kulidhibiti, kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *