Ad imageAd image

Mwanamuziki Malu Stonch afariki akiwa anaimba jukwaani.

Togoro Media
1 Min Read

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla jukwaani katika ukumbi wa Target uliopo Mbezi Beach wakati akiimba pamoja na bendi anayoifanyia kazi ya FM Academia.

Kwa mujibu wa mashuhuda wameeleza kuwa mwanamuziki huyo wakati anaimba alidondoka ghafla na kuangukia uso na kupoteza fahamu huku damu zikimtoka masikioni na kung’ata ulimi ndipo wakampa huduma ya kwanza kabla ya umuwaisha Hospitali ya Masana ambapo alipofikishwa hospotali waliambiwa kuwa alikuwa ameshafariki.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *