Ad image

Wenyeviti wa Vitongoji Serengeti wadai Posho zao.

Wenyeviti takribani 30 wa vitongoji vinavyounda Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mugumu wameibana Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara iwalipe malimbikizo ya posho zao za vikao na madaraka, kiasi

Togoro Media Togoro Media

Wafungwa zaidi ya 1000 wapata msamaha wa Rais.

Jumla ya wafungwa 1082, wamepata msamaha wa Rais leo ambapo 29 kati yao wameachiliwa huru leo Aprili 26, 2024. Wafungwa 20 waliohukumiwa adhabu ya kifo wamebadilishiwa adhabu hiyo na kuwa

Togoro Media Togoro Media

Wakuu wa mataifa 6 Afrika kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Katika kuadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyia na Zanzibar, wakuu wa mataifa 6 Afrika wantarajiwa kuhudhuria sherehe hizo zinazotarajiwa kufanyika kitaifa Jijini Dar Es Salaam katika uwanja wa uhuru

Togoro Media Togoro Media

Kariakoo Derby Ligi Kuu ya Wanawake kupigwa leo.

Mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake baina ya Simba Queens na Yanga Princess utachezwa leo Saa 10:00 jioni ndani ya Dimba la Azam Complex. Katika mechi ya mzunguko wa kwanza

Togoro Media Togoro Media

Bahari Mpya kuzaliwa Barani Afrika.

Bahari mpya inaibuka barani Afrika, kulingana na utafiti mpya, ni mchakato ambao ulidhaniwa ungechukua kati ya miaka milioni 5 na 10, lakini utafiti mpya wa kisayansi unaonesha kuibuka huko kunaweza

Togoro Media Togoro Media

SUA na Serikali ya Norway kushirikiana kukuza sekta ya Kilimo.

Ubalozi wa Norway Nchini, umesema utaendelea kushirikiana na Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine cha Morogoro – SUA, katika kufadhili na kutekeleza Miradi mbalimbali ya Kilimo, Ufugaji na mabadiliko ya Tabia

Togoro Media Togoro Media

Crown Media yamrudisha Dullah Planet kwenye Mic.

Leo Crown Media inayomilikiwa na msanii wa Bongo Flava, Ali kiba, imefanya utambulisho wa wafanyakazi wake wakiwemo waandishi wa habari na watangazaji. Mmoja kati ya watu waliotambulishwa rasmi ni aliyewahi

Togoro Media Togoro Media

Rainford Kalaba hajafa, yuko ICU, Madaktari wathibitisha.

Taarifa iliyosambaa awali kuwa Mchezaji Rainford Kalaba amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari imekanushwa na madaktari wa hospitali moja huko Lusaka nchini Zambia alikofikishwa mchezaji huyo kwa matibabu

Togoro Media Togoro Media

Mchezaji wa TP Mazembe na Timu ya Taifa ya Zambia afariki kwa ajali.

Mchezaji na kiungo fundi kutoka TP Mazembe na Timu ya Taifa ya Zambia, Chipolopolo, Rainford Kalaba amefariki dunia. Taarifa zilizotufikia ni kwamba mchezaji huyo amepata ajali mbaya ya gari alilokuwa

Togoro Media Togoro Media

Makonda awaombea Barabara watu wa Arusha kwa Mama Samia kwa mbwembwe.

Leo April 12 ni siku ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daktari Samia Suluhu Hassan amefika

Togoro Media Togoro Media