Ad imageAd image

Fiston Mayele afuta picha zote akiwa na jezi ya Yanga SC.

Togoro Media
0 Min Read

Baada ya kuonekana kwenye kambi ya Simba SC nchini misri na kufanyiwa mahojiano na Afisa Habari wa klabu hiyo, Ahmed Ally, Mshambuliaji wa Klabu ya pyramids ya nchini misri, Fiston Mayele leo amefuta picha na video zote kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuacha zile post ambazo alikuwa tagged na Caf.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *