Ad image

Ajali ya gari la Wanafunzi Ghati Memorial waliothibitishwa kufariki wafika watano.

Vifo vya wanafunzi vilivyotokana na ajali ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial ya mkoani Arusha vimefikia vitano baada ya miili mimgine minne ya wanafunzi kupatikana. Gari hilo lenye

Togoro Media Togoro Media

Gari la shule ya Msingi Ghati Memorial lapata ajali, mmoja afariki.

Mwanafunzi mmoja amepoteza maisha na saba hawajulikani walipo baada ya gari la shule ya Msingi Ghati Memorial, iliyopo Mkoani Arusha, kuanguka kwenye korongo linalopitisha maji. Ajali hiyo imetokea katika mitaa

Togoro Media Togoro Media

Waliofariki ajali ya Lujiga Express Singida wafika 9.

Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya basi la Lujiga Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza lenye namba za usajili T 315 CXX iliyotokea wilayani Iramba mkoani

Togoro Media Togoro Media

Infinix Note 40 yatambulishwa rasmi Tanzania.

Kampuni ya simu za mkononi ya Infinix Mobile Tanzania imezindua rasmi toleo jipya la simu za NOTE 40 series na kutangaza kuwa sasa ni rasmi simu hizo zimeanza kuuzwa Nchini

Togoro Media Togoro Media

Mwanamuziki Malu Stonch afariki akiwa anaimba jukwaani.

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla jukwaani katika ukumbi wa Target uliopo Mbezi Beach wakati akiimba pamoja na

Togoro Media Togoro Media

Yanga yatolewa na Mamelodi Sundowns robo fainali.

Klabu ya soka ya yanga leo imetolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya dakika 90 kukamilika kwa suluhu ya bila bila na kupelekea kupigwa mikwaju ya Penalti

Togoro Media Togoro Media

Fiston Mayele afuta picha zote akiwa na jezi ya Yanga SC.

Baada ya kuonekana kwenye kambi ya Simba SC nchini misri na kufanyiwa mahojiano na Afisa Habari wa klabu hiyo, Ahmed Ally, Mshambuliaji wa Klabu ya pyramids ya nchini misri, Fiston

Togoro Media Togoro Media

Ally Hapi achaguliwa kuwa Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania.

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua Ndugu Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, akichukua nafasi ya Ndugu Gilbert Kalima ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu

Togoro Media Togoro Media

Jokate Mwegelo achaguliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM Taifa.

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, akichukua nafasi ya Ndugu Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa

Togoro Media Togoro Media

Basi la Yanga SC laharibikia njiani likitokea Airport.

Leo Mamelod Sundowns wamewapa Yanga gari bovu ambalo limeharibika baada ya kilometa 5 tu kutoka OR Tambo International Airport, Afrika Kusini. Ikumbukwe kuwa Mamelod walikataa gari waliopewa na Yanga kuwapokea

Togoro Media Togoro Media