Ad imageAd image

Yanga yatolewa na Mamelodi Sundowns robo fainali.

Togoro Media
0 Min Read

Klabu ya soka ya yanga leo imetolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya dakika 90 kukamilika kwa suluhu ya bila bila na kupelekea kupigwa mikwaju ya Penalti ambapo Mamelodi wameshinda 3 – 2 dhidi ya Yanga.

Kwa matokeo hayo Mamelodi wamekuwa wa kwanza kuingia hatua ya Nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika mwaka 2024.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *