Ad image

Paul Christian Makonda ateuliwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Kabla ya uteuzi huo, Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi…

Togoro Media Togoro Media

Mwenyekiti wa CCM Taifa agawa Pikipiki kwa Viongozi wa Chama Wilaya ya Butiama.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Mhe, Samia Suluhu Hassan leo Machi 31, amegawa pikipiki kwa Viongozi wa Chama ngazi ya Kata na jumuiya zote Wilayani Butiama. Akiongoza zoezi hilo,…

Togoro Media Togoro Media

Fahamu kuhusu mashine ya kifo cha starehe, Unalipia kabla ya kujiua.

Inaitwa "Sarco", kifupi cha sarcophagus, ni mashine iliyochapishwa kwa 3D iliyovumbuliwa na Mwanaharakati wa Euthanasia wa Australia, Philip Nitschke na mbunifu wa Uholanzi, Alexander Bannink ikiundwa katika mfumo wa jeneza…

Togoro Media Togoro Media

Daraja lakatika, Watu zaidi ya 20 wahofiwa kuzama mtoni.

Watu wapatao 20 wanahofiwa kuwa ndani ya maji baada ya daraja la Francis Scott lililopo Baltimore Nchini Marekani kukatika vipandevipande mapema leo baada ya meli iliyobeba kontena kuligonga. Boti kadhaa…

Togoro Media Togoro Media

P Diddy aendelea kusakwa na Polisi hadi Visiwani.

Ndege binafsi ya P Diddy, imefuatiliwa hadi visiwa vya Antigua huku polisi wakivamia makazi yake ya Los Angeles na Miami, na wanawe Justin na King wakikamatwa. Ndege ya Gulfstream 5…

Togoro Media Togoro Media

Lulu Diva atimiza umri wa miaka 29.

Msanii wa Bongo Fleva Luludiva leo Machi 23 anatimiza miaka 29 tangu azaliwe mwaka 1995., LuluDiva alianza kujizolea umaarufu miaka 7 iliyopita kwa ngoma yake ya Milele aliyofanya na Barnaba…

Togoro Media Togoro Media

Makamu wa Rais akasirika, atangaza kuacha kazi.

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango ametangaza kuacha kazi endapo mradi wa maji wa Same - Mwanga -Korogwe hautakamilika ifikapo mwezi Juni mwaka huu, kutokana na mradi huo…

Togoro Media Togoro Media

Upatikanaji wa Kondomu kurahisishwa ili kupunguza maambukizi ya VVU.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeshauri serikali kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya virusi vya UKIMWI katika maeneo ya migodi, vituo vya magari makubwa,…

Togoro Media Togoro Media

JUX: Kosa la aliyepita isiwe sababu ya kumtesa anayekuja.

Ikiwa leo ndo siku ya uzinduzi wa project mpya ya Msanii Juma Jux (Bado), Jux ameshea nasi experience alopitia kwenye mapenzi kwa kuandika "Kuna namna mapenzi yanakupitisha kwenye experience flani…

Togoro Media Togoro Media

MBEYA: Wakamatwa wakitorosha Kilo 9.5 za Dhahabu.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu kumi kwa tuhuma za kutorosha kilo 9.5 za madini ya dhahabu. Waziri wa madini Anthony Mavunde amesema thamani ya dhahabu iliyokamatwa ina…

Togoro Media Togoro Media