Ad imageAd image

Amuua mwanae ili achangiwe fedha na Vikundi.

Togoro Media
0 Min Read

Marwa Menganyi, mkazi wa Kijiji Keroti, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake Celina Marwa mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi mdomoni na puani hadi kufa, kisha kudumbukiza kwenye jaba la maji.

Inasemekana kuwa ametenda tukio hilo kwa kile kinachoelezwa kuwa alitaka achangiwe fedha na kikundi, ili alipe madeni aliyokuwa akidaiwa na vikundi vinne zaidi ya shilingi milioni mbili.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *