Ad imageAd image

Mkuu wa mkoa wa Mara ampa RAS mwezi mmoja kumaliza kero katika Taasisi zote.

Togoro Media
0 Min Read

Mkuu wa mkoa wa Mara amemuagiza RAS wa mkoa huo muda wa mwezi mmoja kushughulikia kero katika Taasisi zote mkoani humo.

Hayo ameyasema leo katika hotuba yake kwenye sherehe za Mei Mosi ambazo kimkoa zimefanyika Wilayani Butiama.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *