Ad image

Amuua Mwanaye Kisha Naye Kajinyonga Mbeya.

Kijana mmoja aitwaye Derick Mwangama (23), amejinyonga na kupoteza maisha baada ya kumuua mtoto wake wa miaka miwili, Deniva Derick kwa kutumia kamba ya manila huku uchunguzi wa awali ukionesha…

Togoro Media Togoro Media

Mjue Farpraud, Binti Msomi Mwenye Ndoto Ya Kuwa Mwanamitindo Mkubwa.

Huyu hapa anaitwa Catherine Mtuya (Farpraud), Binti kutoka kabila la Chief Mkwawa, Mhehe na mzaliwa wa Iringa, mpenda michezo lakini zaidi anapenda mitindo, ndoto ambayo ameibeba na anaamini siku moja…

Togoro Media Togoro Media

Hili Hapa Baraza Jipya La Mawaziri Tanzania.

Leo Novemba 17, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza Baraza jipya la Mawaziri huku akiteua Mawaziri 27 na Naibu Mawaziri 29 kama inavyoonekana hapo chini

Togoro Media Togoro Media

MC Pilipili Afariki Dunia.

Taarifa zilizotufikia jioni ya leo ni kwamba Mchekeshaji na Mshereheshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili amefariki Dunia. Inasemekana kwamba MC Pilipili alisafiri kuelekea Dodoma ambako jioni ya leo…

Togoro Media Togoro Media

BREAKING NEWS: Rais Samia Amemteua Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Daktari Samia Suluhu Hassan leo Novemba 13, 2025 amemteua Dk. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu.

Togoro Media Togoro Media

Mussa Azzan Zungu Aapishwa Kuwa Spika Wa Bunge.

Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu leo Jumanne ya Novemba 11, 2025 ameapishwa rasmi kuwa Spika Mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Zungu anachukua nafasi ya…

Togoro Media Togoro Media

Watahiniwa Wa Kujitegemea Kidato Cha Sita 2026 Waongezewa Muda Wa Usajili.

Muda wa usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kwa Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 umeongezwa kuanzia tarehe 06 Novemba, 2025 hadi tarehe 30 Novemba, 2025.  Ada ya usajili kwa kipindi hiki ni Tsh…

Togoro Media Togoro Media

NECTA Yatangaza Ratiba Mpya FTNA na CSEE 2025.

Baraza la mitihani la Taifa (NECTA) leo Novemba 4, 2025 limeweka wazi ratiba ya mitihani ya Taifa ya kidato cha Pili na kidato cha Nne 2025. Kutazama ratiba Bofya hapa…

Togoro Media Togoro Media

Jimmy Carter the Nobel winning humanitarian died at 100.

Jimmy Carter, the 39th president of the United States and a former peanut farmer whose vision of a "competent and compassionate" government propelled him into the White House, died at…

Togoro Media Togoro Media