Ad imageAd image

TANZIA: Daktari Faustine Ndungulile Afariki Dunia.

Togoro Media
1 Min Read

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe; Tulia Ackson leo ametangaza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni, Daktari Faustine Ndungulile kilichotokea Nchini India ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Faustine Ndungulile amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 27 nchini India na taratibu zote za kusafirisha mwili na mazishi zitatangazwa na Bunge.

Togoro Media inatoa pole kwa Bunge,familia,ndugu,jamaa na marafiki wote katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa, Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *