Ad image

Madaktari Wa Hospitali Ya Sekou Toure Wapata Ajali

Madaktari sita wa Hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza wamejeruhiwa baada ya gari walilopanda kupata ajali katika Kijiji cha Maremwe, Kata ya Igongwa, wilayani Kwimba wakati wakitoka kutoa huduma kwenye

Togoro Media Togoro Media

KATAVI: Mwalimu Aidan Ramadhani Achinjwa Kama Mnyama

Mwalimu wa Shule ya Msingi Nguvumali mkoani Katavi, anaejulikana kwa jina la Aidan Ramadhani anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 42 hadi 43 ameuwa kikatili kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa

Togoro Media Togoro Media

Guinea Waishika Pabaya CAF, Waudai Ubingwa Wa 1976

Shirikisho la soka nchini Guinea limewaomba CAF kufanya marejeo ya mchezo wa fainali ya Afcon mwaka 1976 kati yao na Morocco Mwaka huo ilichezwa fainali ya Afcon ambapo dakika ya

Togoro Media Togoro Media

Haroub Kabwe Awatolea Uvivu Wanaomdharau

Mwanahabari mkongwe na Mkurugenzi wa Haroub Media kutoka Mbeya ameweka wazi juu ya mijadala iliyoibuka kutoka kwa watu tofauti tofauti kuhusu umiliki wa nyumba yake mpya ya kifahari aliyoionesha hivi

Togoro Media Togoro Media

Chuck Norris Afariki Dunia Akiwa Na Miaka 86

Chuck Norris, mcheza filamu wa Marekani aliyejipatia umaarufu kwa uigizaji wake katika filamu ya "Walker, Texas Ranger," amefariki dunia. Familia yake imethibitisha taarifa ya kigo chake na kusema kuwa ni

Togoro Media Togoro Media

Majizzo Amlilia Denis Ssebo

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Mkurugenzi wa Emf pamoja na TVE majizzo ameandika ujumbe huu… "Kwa moyo mzito na machozi mengi, nasikitika kutangaza kifo cha rafiki, kaka, aliyekuwa msimamizi

Togoro Media Togoro Media

Wawili Wahukumiwa Maisha Kwa Kubaka

Mahakama ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma imewahukumu Idd Abubakari Waitara (20) na Mabuda Ally Issa (20), wote wakazi wa Kijiji cha Jangalo, kwenda jela maisha na kuchapwa viboko kila

Togoro Media Togoro Media

Palm Jumeirah Ya Dubai Yashambuliwa

Shambulio moja limetokea eneo la Palm Jumeirah nchini Dubai. Kwa mujibu wa ofisi ya habari nchini humo, vikosi vya uokoaji vilitumwa mara moja katika eneo la tukio na moto uliotokana

Togoro Media Togoro Media

Amuua Mvuvi Mwenzake Kisa Wivu Wa Mapenzi

MWANZA:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mvuvi mmoja, Ndaishimiye Gerald Joseph (45), mkazi wa Kisiwa cha Zilagula, kwa tuhuma za kumuua mvuvi mwenzake, James Jastine Lameck (45), kufuatia wivu

Togoro Media Togoro Media