Vilabu vya Yanga SC na Kaizer Chiefs Vimebisha hodi kwenye klabu ya Cape Town City ili Kuipata huduma ya mshambuliaji wao Khanyisha Mayo.nakupenda

Mayo kwa sasa ndiye mfungaji kinara wa ligi ya Dstv ya Afrika kusini akiwa tayari amekwishafunga magoli 11 msimu huu.


