Ad imageAd image

Lulu Diva atimiza umri wa miaka 29.

Togoro Media
0 Min Read

Msanii wa Bongo Fleva Luludiva leo Machi 23 anatimiza miaka 29 tangu azaliwe mwaka 1995.,

LuluDiva alianza kujizolea umaarufu miaka 7 iliyopita kwa ngoma yake ya Milele aliyofanya na Barnaba ambapo ilimfungulia njia na kutikisa baadae na ngoma kama Ona akiwa na Rich Mavoko na nyingine nyingi.

HAPPY BIRTHDAY LULUDIVA.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *