Ad imageAd image

FBI yamtaja aliyempiga risasi Donald Trump.

Togoro Media
1 Min Read

Shirika la Upelelezi (FBI) limemtaja Thomas Matthew Crooks (20), kama Mshambuliaji katika jaribio la Mauaji ya Rais wa zamani na Mgombea wa Urais Donald Trump

Taarifa ya Shirika hilo inasema kuwa Mathew alipigwa Risasi na Maafisa wa Usalama mara baada ya tukio hilo na kufariki papo hapo

Akiwa juu ya jengo la karibu na eneo ulipokuwa Mkutano wa Kampeni za Trump, Mathew alifyatua risasi kadhaa ambazo zilimwachia Trump majeraha ya Sikio na kusababisha Kifo cha Mtu mmoja, huku wengine wawili wakiwa wamejeruhiwa vibaya.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *