Ad imageAd image

PICHA: Maadhimisho ya Mei Mosi mkoa wa Mara yalivyofana.

Togoro Media
0 Min Read

Leo ni siku ya wafanyakazi Duniani na kwa mkoa wa Mara sherehe hizo zinafanyika wilayani Butiama katika viwanja vya mnada wa Kiabakari.

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoani Mara yameongozwa na Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. Kanali Alfred Mtambi.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *