Ad imageAd image

Simba SC yapata Sare ugenini.

Togoro Media
0 Min Read

Mchezo wa mzunguko wa kwanza wa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika uliozikutanisha Simba ya Tanzania na Al Ahly Tripoli ya Libya umetamatika kwa sare ya bila kufungana.

Mchezo wa marudiano utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam wikendi ijayo ambapo timu itakayopata matokeo katika mchezo huo itaenda hatua ya makundi.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *