Ad image

Mussa Azzan Zungu Aapishwa Kuwa Spika Wa Bunge.

Togoro Media
0 Min Read

Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu leo Jumanne ya Novemba 11, 2025 ameapishwa rasmi kuwa Spika Mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Zungu anachukua nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Daktari Tulia Ackson Mwansasu ambaye alijitoa mapema kwenye kinyang’anyiro hicho.

Kabla ya kuwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Zungu alikuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *