Chuck Norris, mcheza filamu wa Marekani aliyejipatia umaarufu kwa uigizaji wake katika filamu ya “Walker, Texas Ranger,” amefariki dunia.
Familia yake imethibitisha taarifa ya kigo chake na kusema kuwa ni kifo cha ghafla. Chuck Norris amefariki akiwa na umri wa miaka 86.
Chuck Norris alifariki Alhamisi ya Machi 19, 2026 huko Hawaii nchini Marekani.


