Ad imageAd image

Darasa la Saba wafanya mtihani wa kuhitimu.

Togoro Media
1 Min Read

Wanafunzi wa Darasa la Saba leo wameanza mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi kwa mwaka huu 2024.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Karukekere B, iliyoko wilayani Bunda, mkoa wa Mara, Bwana Fredrick Vincent amepata wasaa wa kuzungumza na wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule hiyo mapema leo asubuhi kabla ya kuanza kwa mitihani hiyo.

Akiongea na wanafanzi hao amewaasa kuwa wema huko wanakokwenda na kusisitiza kuishi vyema na jamii inayowazunguka.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *