Ad imageAd image

Uvamizi wa Magari ya kusafirisha Fedha wakithiri Afrika Kusini

Togoro Media
0 Min Read

Uhalifu wa kimabavu unazidi kuongezeka nchini Afrika Kusini, huku wizi wa pesa katika magari yanayosafirisha fedha ukiwa jambo la kawaida na kiwango cha mauaji kikiwa juu.

Hali hii inaifanya nchi ya Afrika Kusini kuwa tishio kwa wafanyabiashara na wawekezaji nchini humo.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *