Ad imageAd image

Fahamu Jumba la Makumbusho ya Hayati Nelson Mandela.

Togoro Media
0 Min Read

Tarehe 11/02/2000 ndipo lilipofunguliwa Jumba la Makumbusho ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Afrika ya kusini, Nelson Mandela.

Jumba hilo lilijengwa kijijini kwake Mthatha alipozaliwa na kusoma shule ya msingi.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *