Ad imageAd image

Wakuu wa mataifa 6 Afrika kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Togoro Media
0 Min Read

Katika kuadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyia na Zanzibar, wakuu wa mataifa 6 Afrika wantarajiwa kuhudhuria sherehe hizo zinazotarajiwa kufanyika kitaifa Jijini Dar Es Salaam katika uwanja wa uhuru hapo kesho Ijumaa 26, Aprili.

Viongozi ambao mpaka sasa wamekwishawasili nchini ni Rais wa Zambia Hakainde Hichilema na Rais wa Kenya, William Ruto.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *