Ad imageAd image

MC Pilipili Afariki Dunia.

Togoro Media
1 Min Read

Taarifa zilizotufikia jioni ya leo ni kwamba Mchekeshaji na Mshereheshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili amefariki Dunia.

Inasemekana kwamba MC Pilipili alisafiri kuelekea Dodoma ambako jioni ya leo alikuwa na kazi ya ushereheshaji Jijini humo lakini ghafla alifikwa na mauti mchana.

Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia hapa na kwenye mitandao yetu ya kijamii. TOGORO MEDIA inatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Tasnia nzima ya burudani nchini.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *