Ad imageAd image

Korea Kusini yatinga Nusu Fainali Asian Cup Kwa kuichapa Australia 2-1.

Togoro Media
0 Min Read

Mechi kati ya Korea Kusini na Australia imemalizika Kwa mabao 2-1 kwenye uwanja wa Al Janoub katika muda wa nyongeza na kuiwezesha Korea Kusini kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Asia (Asian Cup).

Korea Kusini imepata ushindi huo ikitoka nyuma baada ya kufungwa mapema na Australia.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *