Ad imageAd image

Mwenyekiti wa CCM Taifa agawa Pikipiki kwa Viongozi wa Chama Wilaya ya Butiama.

Togoro Media
0 Min Read

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Mhe, Samia Suluhu Hassan leo Machi 31, amegawa pikipiki kwa Viongozi wa Chama ngazi ya Kata na jumuiya zote Wilayani Butiama.

Akiongoza zoezi hilo, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Butiama Mhe, Christopher Siagi amesema Pikipiki hizo zitaenda kurahisisha shughuli mbalimbali za chama kwa urahisi na ufanisi mkubwa.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *