Ad imageAd image

Mistari: Sitorudi – Q Jay ft Joh Makini

Togoro Media
2 Min Read

Mi sina makosa ila ni wewe
Kwani ulivyofanya wewe wajua
Ulinifanya mi nikonde niumie hii yote kwa sababu yako wee
Na tena ukanikana bila huruma mbele ya mama yangu nay

Sio pooa ×2

CHORUS
Mi nasema sitorudi
Kwa sababu uliniona sifai
Hata uje kwa magoti
Sikubali mi nasema sitakii ×2

Nlikuwa sina na sasa nina nini mpk wewe urudi kwangu mii
Uliniona kwamba sio muhimu kwako ukanitosa
Ukawafuata wale wenye mapesa mengi wanaofaa
Nasemaa kwendaaa
Mi sirudii kwendaa
Uliniumiza yatoshaa

- Advertisement -

CHORUS
Mi nasema sitorudi
Kwa sababu uliniona sifai
Hata uje kwa magoti
Sikubali mi nasema sitakii ×2

It’s your boy Joh makini Q Jay say records remix
Ulinikosesha raha moyoni
Nikashindwa kuificha huzuni hata kwa machizi wa skani
Nikawa nashinda getto nikicheki movie
Muziki na kucheza play station tu
Zoezi lilikuwa ni gumu nimeyapitia mengi mpaka leo Joh nimekusahau
Hebu sepa sina muda wa kudiscuss
Uliniona mi sifai kwa kupenda zile shortcut
Bado ni kwenye mitikasi
Tena full and am still making it rain kama Jograp
Nami nashea nahitaji mvua
Ambaye hatonikimbia hata kipindi cha jua
Pengine we ni mtoto huko mbeleni utakuwa
Lakini mi ni mtoto wa mtaa siyo chuo cha mafunzo
Mi ni mzee ambaye ndani ya game ni gumzo
Nyota nilizonazo begani
Zinafanya wenzako wananiota daily ndotoni
Joh makini mwamba wa kaskazini
Ulio makini yes bado nipo kazini
Aah Yeah follow me…….

CHORUS
Mi nasema sitorudi
Kwa sababu uliniona sifai
Hata uje kwa magoti
Sikubali mi nasema sitakii ×2

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *