Baada ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya kuvunjika kwa ndoa ya Mwijaku na mkewe, leo Mwijaku amempost mke wake akiwa nyumbani kwake huku akiambatanisha na maneno yanayoashiria kuwacheka waliofurahia penzi hilo kuvunjika.


Je, unadhani ni kweli wanandoa hawa walikuwa wameachana kweli? Toa maoni yako kwenye comment.


