Ad image

Bilionea Wicknell Chivayo Wa Zimbabwe Afariki Dunia

Togoro Media
0 Min Read

Mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, pamoja na mke wake Lucy “Lulu” Muteke, na wengine wanne wamefariki dunia Septemba 30, 2026 baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Marondera Rural, mashariki mwa Harare.

Polisi wa Zimbabwe (ZRP) wamethibitisha ajali hiyo ya helkopta iliyotokea majira ya saa 11:00 jioni, wakisema awali kulikuwa na watu sita ndani ya helikopta hiyo na hakuna aliyenusurika.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *