Mechi kati ya Korea Kusini na Australia imemalizika Kwa mabao 2-1 kwenye uwanja wa Al Janoub katika muda wa nyongeza na kuiwezesha Korea Kusini kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Asia (Asian Cup).
Korea Kusini imepata ushindi huo ikitoka nyuma baada ya kufungwa mapema na Australia.


