Ad imageAd image

Minada ya Kisasa 51 yajengwa ndani ya miaka 3 ya Rais Samia.

Togoro Media
0 Min Read

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, jumla ya minada ya kisasa 51 imejengwa nchi nzima yenye thamani ya Shilingi Bilioni 17.5.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *